Bodi ya Wadhamini ya Mradi wa Wikimedia

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This page is a translated version of the page Wikimedia Foundation Board of Trustees and the translation is 100% complete.

Bodi ya wadhamini ya Mradi wa Wikimedia yaa (BoT) inajukumu la kuangalia mradi wa Wikimedia na kazi zake, na sheria zake ndogondogo.

Muundo

Bodi iliundwa mnamo mwaka 2003 ikiwa na wadhamini watatu, na tangu mwaka 2020 bodi inajumuisha wadhamini 16 kumi na sita. inachangua maofisa kutoka kwa wadhamini: Mwenyekiti, nafasi mbili ya makamu wenye viti, na wenyekiti wa kamati. Bodi pia ina teua maofisa nje na wadhamini: Mkurugenzi mkuu, Mhadhini mkuu, na Katibu. Baadhi ya shughuri za bodi ni pamoja na Maazimio na uchaguzi. Kazi nyingine hukabidhiwa kwenye kamati mbalimbali kama vile Utawala, ukaguzi, vipaji na utamaduni, Kamati ya bidhaa na tekinolojia na kamati ya maadili ya jamii.

Kwasasa uanachama wa Bodi unajumuisha:

Kuwasiliana na Bodi

Kuna Ubao wa matangazo ya kushiriki maombi na mapendekezo. Unaweza kuwasiliana moja kwa moja na Bodi kupitia ubao wa matangazo. Unaweza kuwasiliana na Mradi wa Wikimedia wenyewe kwanjia kadhaa kama ilivyoainishwa kwenye contact|page.

Wanachama kwa sasa

Kipindi cha maswali na majibu cha Bodi ya Wadhamini ya Wikimedia Foundation katika Wikimania 2015
Picha Jina Kiti Jukumu/nafasi Ukomo wa mhura Maelezo wiki Nyumbani
Jimmy Wales (User:Jimbo Wales) Mwanzilishi Mwenyekiti Mstaafu[Notes 1] 1 Novemba 2024 Aliteuliwa tena tarehe 8 Desemba 2021 Wikipedia ya Kiingereza
Dr. Dariusz Jemielniak (User:Pundit) Jumuiya/Ushiriki Kamati ya Utawala mwenyekiti 1 Novemba 2024 Aliteuliwa Oktoba 2021 Polish Wikipedia
Rosie Stephenson-Goodknight (User:Rosiestep) Jumuiya/Ushiriki 1 Novemba 2024 Aliteuliwa Oktoba 2021 Wikipedia ya Kiingereza
Victoria Doronina (User:Victoria) Jumuiya/Ushiriki 1 Novemba 2024 Aliteuliwa Oktoba 2021 Russian Wikipedia
Lorenzo Losa (User:Laurentius) Jumuiya/Ushiriki 1 Novemba 2024 Aliteuliwa Oktoba 2021 Italian Wikipedia
Mike Peel (User:Mike Peel) Jumuiya/Ushiriki 31 Desemba 2025 Aliteuliwa rasmi Desemba 2022 Wikipedia ya Kiingereza
Nataliia Tymkiv (User:NTymkiv (WMF)) Kuwekwa rasmi Mwenyekiti 1 Novemba 2025 Aliteuliwa Oktoba 2021 Ukrainian Wikipedia
Shani Evenstein Sigalov (User:Shani (WMF)) Jumuiya/Ushiriki makamu mwenyekiti;
Kamati ya Utawala mwenyekiti
31 Desemba 2025 [[Wikimedia_Foundation_elections/2022|Aliteuliwa tena tarehe 8 Desemba 2021]] Hebrew Wikipedia
Esra'a Al Shafei Kuwekwa rasmi makamu mwenyekiti;
Kamati ya Bidhaa na Teknolojia mwenyekiti
1 Oktoba 2026 Aliteuliwa tena tarehe 15 Agosti 2023
Raju Narisetti Kuwekwa rasmi Kamati ya Utawala mwenyekiti 1 Oktoba 2026 Aliteuliwa tena tarehe 15 Agosti 2023
Luis Bitencourt-Emilio Kuwekwa rasmi 1 Januari 2025 Aliteuliwa rasmi Desemba 2022
Kathy Collins Kuwekwa rasmi Kamati ya Utawala mwenyekiti 1 Novemba 2026 Aliteuliwa rasmi Desemba 2022
Maelezo:

Wanachama wazamani

User:Doc JamesUser:DennyUser:PunditUser:Guy KawasakiUser:FriedaUser:LyzzyUser:RaystormUser:PhoebeUser:LyzzyUser:Patricio.lorenteuser:BishdattaUser:PhoebeUser:SjUser:AklUser:MhalprinUser:SjUser:MidomUser:WingUser:Michael SnowUser:MidomUser:FriedaUser:Stuuser:anthereUser:MindspillageUser:OscarUser:MindspillageUser:EloquenceUser:Jan-BartUser:AngelaUser:AnthereUser:MdavisUser:TimShellUser:Jimbo WalesSpecial:MyLanguage/Wikimedia Foundation Board of Trustees
User:Mike PeelUser:Esh77User:NTymkiv (WMF)User:LaurentiusUser:VictoriaUser:RosiestepUser:PunditUser:RaystormUser:Doc JamesUser:PunditUser:Esh77w:en:Esra'a Al Shafeiw:en:Raju NarisettiUser:NTymkiv (WMF)User:SchisteUser:Doc JamesArnnon GeshuriKelly BattlesUser:Guy KawasakiUser:FriedaUser:Patricio.lorenteUser:LyzzyUser:RaystormUser:DennyUser:PunditArnnon GeshuriKelly BattlesUser:Jimbo WalesSpecial:MyLanguage/Wikimedia Foundation Board of Trustees

Kamati

Maelezo zaidi